Maria Yosefa Rossello

Maria Giuseppa Rossello, FdM (27 Mei 18117 Desemba 1880) alikuwa mtawa wa Italia aliyeanzisha shirika la Mabinti wa Bibi Yetu wa Huruma lenye lengo la kueneza huruma ya Mungu ulimwenguni.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 6 Novemba 1938, halafu na Papa Pius XII kuwa mtakatifu tarehe 12 Juni 1949.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

  1. St. Maria Giuseppa Rossello. Catholic Online. Retrieved on 3 May 2015.
  2. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy